GET /api/v0.1/hansard/entries/644530/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 644530,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/644530/?format=api",
"text_counter": 98,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Huu Mswada umekuja wakati unaofaa. Bunge hili litaweza kuwanasua wananchi wa nchi hii kutokana na hawa matapeli na hizi benki. Tutaweza kusaidia mwananchi kuona benki zetu, kwa mfano Kenya Commercial Bank (KCB), Cooperative Bank na National Bank, na zitaweka riba sawa. Sijui kama tunaweza kujiuliza ni akina nani ambao huunda zile benki ndio waweze The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}