GET /api/v0.1/hansard/entries/644934/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 644934,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/644934/?format=api",
"text_counter": 242,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "ulikuwa na njaa. Kwa hivyo, ukiiba, iba zaidi ya Kshs20 bilioni ili uwe mtu “mkubwa” hata ingawa wewe ni mwizi. Bw. Spika wa Muda, tukubali kwamba kuna maendeleo mengine kadhaa kama umeme, njia ya reli na tuseme kwamba asilimia sabini imejengwa. Lakini, ujenzi huo umefuata mkondo wa Mkoloni aliyejenga kutoka Mombasa kupitia Nairobi hadi Kisumu na pahali penginepo. Sisi watu wa pembeni, ni lini tutaona mpango wa Serikali kujenga reli hadi Isebania au mpango wa kujenga reli hadi Mandera? Kwani sisi ni Wakenya nusu? Sitaki kusema mambo ya ujenzi wa barabara kwa sababu barabara zimejengwa kadhaa. Wengine wanalalamika kwamba pesa ziwekwe wakfu wa kutengeneza na kurekebisha---"
}