GET /api/v0.1/hansard/entries/644937/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 644937,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/644937/?format=api",
    "text_counter": 245,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 179,
        "legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
        "slug": "wilfred-machage"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika wa Muda. Tunataka haki itendewe kila mtu. Ukiangalia stakabadhi ambazo ziliandikwa na Mzalendo Kibunja, kwa makabila yale matano ambayo hayana haki ndani ya Serikali, kuna Wakuria, Rendille, Ndorobo na Teso. Kazi zinatolewa lakini kiongozi wa daraja kubwa tulionao ni Katibu Mkuu mmoja na Kamishina wa Kaunti mmoja. Pia tuna Kamishna wa Shirika la Serikali wawili; moja wa kampunui ya SONY ambayo inakufa na mwingine wa Kenya Pipeline, na sisi ni wananchi ndani ya Kenya. Kila siku tukisikia Rais ameteuwa fulani, utasikia kina Kamau, Kiprotich, halafu kidogo, Odongo. Bw. Spika wa Muda Wakenya wanataka haki. Asante sana."
}