GET /api/v0.1/hansard/entries/644947/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 644947,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/644947/?format=api",
    "text_counter": 255,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Kwa hoja ya nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Je, ni haki kwa Sen. Kisasa kuwaita wakimbizi wa ndani ambao tunajua ni waathiriwa, wakimbizi wa kisiasa? Hawa ni masikini walioathirika kutokana na vita vya ndani vya kisiasa. Walitimuliwa kutoka makao yao. Wengi wao sasa ni masikini wa Mungu. Hawana mashamba au makao yao. Watu waliathirika na wengine wakafa."
}