GET /api/v0.1/hansard/entries/644948/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 644948,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/644948/?format=api",
"text_counter": 256,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kisasa",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13124,
"legal_name": "Mshenga Mvita Kisasa",
"slug": "mshenga-mvita-kisasa"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, Waswahili husema: “Mpapia au mkamia maji hayanywi au hafaidiki nayo.” Pengine kama Sen. Muthama angenisikiliza kwa makini angeelewa nilichosema. Mimi ninataka watu hao wapewe haki ili waweze kujikimu kimaisha ili wasahau yale yaliyowapata. Naomba Serikali yetu iwasaidie ili waweze kununua mashamba na kuwa na makao mapya."
}