GET /api/v0.1/hansard/entries/644949/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 644949,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/644949/?format=api",
    "text_counter": 257,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Kwa hoja ya anidhamu, Bw. Spika wa Muda. Si kuzungumza kuhusu hatua zitakazowafaidi watu hawa, bali nimesema si haki kwa yeye kuwaita wakimbizi wa kisiasa. Ningependa kumkosoa Sen. Kisasa kuwa watu hawa si wakimbizi wa kisiasa lakini ni waathiriwa wa vita vya ndani. Waathiriwa wale ni wananchi ambao hawana hatia bali wamewekwa katika mashaka na matatizo."
}