GET /api/v0.1/hansard/entries/644958/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 644958,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/644958/?format=api",
    "text_counter": 266,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "kiti hicho kwa sasa ukiwa umechaguliwa na chama cha URP, haingewezekana kwa sababu ilikuwa ni lazima ukae kwa chama kimoja kilichoitwa “Baba na Mama.” Kwa hivyo, kama Rais na wanaomsifu hawana habari, ajue kwamba historia ya nchi itasomwa sasa na siku zijazo kwamba hakuweza kuvumilia kupitia kwa Spika wake kuwaachilia Wabunge wafanye kazi wanazostahili kufanya katika Bunge lao. Rais ni mgeni kwa sababu yeye si Mbunge wala hafanyi kazi Bungeni. Alistahili kuvumilia na kumwambia Spika wake aliyemthamini kwa chama chake na mrengo wake wa Jubilee aachane na Wabunge wafanye siasa. Bwana Spika wa Muda, kupitia mtandao, tunayaona yanayotokea katika Bunge la Korea, Afrika Kusini na Bunge zingine. Tunaishi katika historia. Hakuna historia hata moja---"
}