GET /api/v0.1/hansard/entries/644965/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 644965,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/644965/?format=api",
"text_counter": 273,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Asante sana, nakushukuru. Bw. Spika wa Muda, Rais alisema kuwa Wakenya wanoenaka wamehitimu kwa wizi. Hapo ndipo tumefikia. Maskini anaweka pesa katika benki na anapoenda kuzitoa, anakuta benki imefungwa. Sio moja, mbili, tatu au nne. Hii ni kwa sababu kila mtu ameweka katika akili yake kwamba ukitaka kufaulu katika taifa letu, ni lazima uibe. Juzi kulikuwa na madai hapa kwenye Bunge letu. Inasemekana kuwa hata wafanyikazi wa Bunge letu wanahusika katika rushwa na kashfa ya wizi wa pesa. Kwa hivyo, taifa hili linaelekea pabaya. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate"
}