GET /api/v0.1/hansard/entries/645264/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 645264,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/645264/?format=api",
"text_counter": 23,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Mheshimiwa Naibu Spika, naomba kusimama kwa hoja ya nidhamu. Je, Mheshimiwa anayezungumza hivi sasa ana haki ya kuzungumza yale anayosema kuwa tunachukua hundi ya Hazina ya Ustawishaji Maeneo Bunge na kuipeleka nyumbani? Nani anapeleka hundi ya Hazina ya Ustawishaji Maeneo Bunge nyumbani? Labda ni maongezi yake ya mwanzo. Naomba afafanue."
}