GET /api/v0.1/hansard/entries/645309/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 645309,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/645309/?format=api",
"text_counter": 68,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Korere",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13134,
"legal_name": "Sara Paulata Korere",
"slug": "sara-paulata-korere"
},
"content": "Nakushukuru, Mhe. Naibu Spika. Nasimama kuchangia Hotuba ya Rais kwa Taifa iliyokuwa ya kufana sana. Mhe. Rais alidhihirisha miundo misingi iliyokuweko nchini wakati wa kubuniwa kwa taifa changa la Kenya mwaka wa 1963 ambayo ni umoja wa Kenya na uwiyano."
}