GET /api/v0.1/hansard/entries/645311/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 645311,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/645311/?format=api",
    "text_counter": 70,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Korere",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13134,
        "legal_name": "Sara Paulata Korere",
        "slug": "sara-paulata-korere"
    },
    "content": "Kidato cha Nne na Darasa la Nane, imefutuliwa mbali. Pia, karibu shule 22,000 zimesambaziwa nguvu za umeme chini ya Serikali ya Jubilee. Baadhi ya shule hizo ni zile ambazo ziko mahali hakujawahi onekana umeme. Umeme umeonekana kwenye baadhi ya vijiji ambavyo vilikuwa vimesahaulika kwa miaka na miaka kama kule Doldol, ambako natoka. Sitima imefika huko."
}