GET /api/v0.1/hansard/entries/645398/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 645398,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/645398/?format=api",
"text_counter": 157,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Asante Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa fursa hii ili niweze kuchangia Hutoba ya Rais kwa taifa. Vifungu vya 10, 32 na 240 vya Katiba vinampa Rais mamlaka kuzungumza na taifa kutoka Bunge la Taifa. Ni sikitiko na aibu wakati Waheshimiwa wa Bunge wakijua Rais anakuja kutekeleza wajibu wa kikatiba wanampokea na kumpigia firimbi. Tunasema hii ni aibu na tunailaani vikali."
}