GET /api/v0.1/hansard/entries/645400/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 645400,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/645400/?format=api",
    "text_counter": 159,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Rais wa Taifa la Kenya amekumbwa na changamoto kwa sababu ya fitina na uongo. Ni Rais wa pekee katika historia ya dunia kusimama mbele ya korti, kwa sababu anaheshimu na anataka kutekeleza sheria. Hii ndiyo sababu ameenda Hague kama Rais na akashitakiwa. Miaka hiyo yote hakuweza kutekeleza wajibu wake kama Rais. Ni kortini asubuhi, jioni na fitina ndogo ndogo. Licha ya changamoto kama hizi, angalia taifa la Kenya leo. Angalia karakana. Wakizungumzia juu ya reli ya taifa, angalia mradi wa SGR. Hii pekee inakupa habari, Rais Uhuru Kenyatta ana ndoto gani kwa Taifa la Kenya? Anaelekea wapi na baada ya miaka yake Kenya itakuwa wapi? The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}