GET /api/v0.1/hansard/entries/645423/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 645423,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/645423/?format=api",
    "text_counter": 182,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Bedzimba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1933,
        "legal_name": "Rashid Juma Bedzimba",
        "slug": "rashid-juma-bedzimba"
    },
    "content": "Kwa sababu yeye ni Amiri Mkuu wa Majeshi, tulitarajia kuwa katika Hotuba yake kuhusu suala la wanajeshi wetu, atatangaza wazi idadi ya wanajeshi waliopoteza maisha yao nchini Somalia, idadi ya miili iliyorudi nchini na kuzikwa na wangapi hawajulikani waliko, lakini hakulitaja jambo hilo. Kama Amiri Mkuu wa Majeshi, tungetaka atueleze maana ya wanajeshi wetu kukaa huko Somalia, na ikiwa watakaa kule, watarudi lini. Ikiwa wataishi huko The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}