GET /api/v0.1/hansard/entries/645905/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 645905,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/645905/?format=api",
    "text_counter": 65,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mositet",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 608,
        "legal_name": "Peter Korinko Mositet",
        "slug": "peter-korinko-mositet"
    },
    "content": "Asante sana Bw. Spika kwa kunipa fursa hii ili niweze kuchangia arifa hii. Gavana wa Meru ni mtu asiyezingatia mahitaji ya watu wake. Pia kwamba mashine zinazozungumziwa hazihitajiki na watu wa Meru. Ama Gavana huyo anaamini kuwa watu wa Kaunti ya Meru hawana magonjwa yatakayotibiwa na mashine hizo. Hafai kukataa mashine hizo ilhali watu wa Kaunti ya Meru wanaendelea kudhiirika na magonjwa. Maafisa wa Wizara ya Afya pia wanafaa kushawishiwa kwamba wanaponunua mashine zozote, wanafaa kuangalia mahitaji mbalimbali ya kila kaunti kwani sio kaunti zote zinahitaji mashine za kutibu ugonjwa wa saratani. Kaunti mbalimbali zina mahitaji tofauti. Inawezekana Gavana Munya aliona kwamba mashine hizo hazitawafaidi watu wa Meru. Hata hivyo angekuwa na utu angekubali mashine zile ziwekwe katika hospitali za The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate"
}