GET /api/v0.1/hansard/entries/646956/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 646956,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/646956/?format=api",
    "text_counter": 225,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili nichangie Mswada huu wa kupambana wa madawa ya kusisimua misuli. Ningependa kuwapongeza na kuwapa heko ndugu zetu, wanamichezo, wote katika nchi hii. Inajulikana ulimwenguni kwamba Kenya inajivunia riadha. La muhimu zaidi pia ni kuwapongeza wachezaji wetu wa mchezo wa raga ambao una wachezaji saba kila upande. Nawapongeza sana kwa ushindi walioletea taifa letu la Kenya. Wachezaji hao wanafaa kuigwa na vijana wetu wote kwa kushinda timu ya Fiji na kuiletea sifa nchi yetu katika mchezo wa raga. Si vyema kuona Serikali yetu ya Jubilee ikishurutishwa na kitengo kinachosimamia mambo ya madawa ya kulevya au ya The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate"
}