GET /api/v0.1/hansard/entries/647946/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 647946,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/647946/?format=api",
    "text_counter": 131,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Katana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 691,
        "legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
        "slug": "aisha-jumwa-katana"
    },
    "content": "Asante sana, Naibu Spika wa Muda. Nimesimama kuunga mkono Mswada huu wa marekebisho. Ni wajibu wa kila mmoja kuwa katika uongozi. Akina mama wameshindwa kufika kwenye Bunge la kitaifa na kwenye mabunge mengine kule nyanjani kwa sababu ya ukosefu na udhaifu wa kiraslimali. Kwa hayo machache, naunga mkono."
}