GET /api/v0.1/hansard/entries/648187/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 648187,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/648187/?format=api",
"text_counter": 372,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Akina mama wanatusiwa kwa wingi wanapopigania viti. Wengi wanashtuliwa na matusi hayo. Ningependa kuwaambia akina mama katika Kenya hii kuwa wasijali matusi hayo. Wapiganie haki ya watu wao. Lazima upiganie haki yako na wenzako. Usishtuliwe na matusi. Wakati huu katika Jimbo la Samburu, Seneta Naisula anapigania kiti cha ubunge cha Samburu West. Nina uhakika kuwa atapata kiti hicho kwa sababu yale matusi anayopata wakati huu si madogo. Matusi ambayo napata wakati huu yanainua gredi zangu zote kwa sababu ya kazi ninafanya."
}