GET /api/v0.1/hansard/entries/648196/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 648196,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/648196/?format=api",
"text_counter": 381,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Katana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 691,
"legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
"slug": "aisha-jumwa-katana"
},
"content": "Bunge la 10 lilikuwa na wakilishi wa jinsia ya kike asilimia 9.8. Bunge la 11 lina asilimia 19.1 ambayo ni asili mia ya chini sana tukiilingasha na majirani wetu katika Afrika Mashariki. Rwanda inajivunia asilimia 63.8 baada ya uchaguzi mwezi wa tisa 2013. Tanzania vile vile vile inajivunia asilimia 36 baada ya uchaguzi uliofanyika mwezi wa kumi 2010. Uganda inajivunia asilimia 35 na Burundi asilimia 30. Hii imetufanya sisi Wakenya kuonekana kurudi nyuma na imefanya nchi ya Kenya kuorodheshwa 78 ulimwengu kwa uakilishi wa Wabunge wa jinsia ya kike kwa Bunge mwaka 2014."
}