GET /api/v0.1/hansard/entries/648197/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 648197,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/648197/?format=api",
"text_counter": 382,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Katana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 691,
"legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
"slug": "aisha-jumwa-katana"
},
"content": "Hata hivyo si jambo ambalo limekuwa rahisi. Nawapongeza vinara wetu wa muungano wa CORD. Tulipokutana kujadili swala hili, waliliunga mkono na kudhirisha ya kwamba wako tayari kuunga kina mama ama jinsia ya kike ndani ya uongozi."
}