GET /api/v0.1/hansard/entries/648198/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 648198,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/648198/?format=api",
"text_counter": 383,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Katana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 691,
"legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
"slug": "aisha-jumwa-katana"
},
"content": "Nataka nizungumzie historia ambayo imetufanya wengine wetu tumepata fursa hii kuingia katika Bunge. Haijakuwa rahisi vile. Nilichaguliwa kama mwakilishi wa Wadi 1998 hadi mwaka wa 2007. Nilijaribu kutafuta kiti cha ubunge lakini haikuwa rahisi katika eneo la Bunge la Bahari ndani ya Kilifi Kaunti."
}