GET /api/v0.1/hansard/entries/648200/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 648200,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/648200/?format=api",
"text_counter": 385,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Katana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 691,
"legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
"slug": "aisha-jumwa-katana"
},
"content": "Litakuwa ni jambo la maana katika Bunge hili la 11 tutakapoitekeleza Katiba maanake ni jukumu letu kuhakikisha kwamba imefanyika na tumeitekeleza kwa mujibu wa Katiba inavyotuamurisha. Tayari hii inafanyika. Katika kipengele cha 27(3) cha Katiba yetu ambayo ilipita 2010, inaelezea usawa wa jinsia zote kiuchumi, kisiasa na kijamii. Tayari hii inafanyika katika bunge zetu za kaunti. Kikatiba katika Kitengo cha 177(1)(b) na (c) katika bunge za kaunti tayari hii inafanyika. Hivyo basi ni uhamisho tu ili ifae katika bunge zetu za kitaifa katika kitengo cha 97 na 98."
}