GET /api/v0.1/hansard/entries/648202/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 648202,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/648202/?format=api",
"text_counter": 387,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Katana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 691,
"legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
"slug": "aisha-jumwa-katana"
},
"content": "Naunga mkono kina mama kupata nafasi hasa sana katika vyama vya kisiasa. Tuige mfano katika muungano wetu wa CORD kwa sababu naona wengi walipata nafasi bila upendeleo. Kwa hivyo, vyama vya kisiasa vizingatie na kuangalia maadili ya akina mama na kuwapa nafasi. Badala ya kupewa viti maalum tuwe tunang’ang’ana kama vile naelekea Malindi. Nina hakika ya kwamba nitakuwa Mbunge wa kwanza kurudi hapa nikichaguliwa katika eneo moja la bunge la Malindi."
}