GET /api/v0.1/hansard/entries/648911/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 648911,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/648911/?format=api",
"text_counter": 637,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": "Asante sana, Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda. Naunga mkono mabadiliko ya Kamati kuhusu huu Mswada. Nataka kumwambia Mhe. Milly tungeweza kuchukuwa maoni yake lakini anapooa haendi kwa akina bibi yake na hatapewa mali yoyote huko. Lakini bibi anapoolewa anakaa kule kwa akina bwana na pia hupata urithi huko. Kwa hivyo, mabadiliko haya ni mazuri kwa sababu atakuwa pale mpaka wakati wataawachana ama kuolewa kwa jamii nyingine. Kwa hivyo, mabadiliko haya yako sawa na sahihi nayaunga mkono kwa dhati."
}