GET /api/v0.1/hansard/entries/649312/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 649312,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/649312/?format=api",
    "text_counter": 1038,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Mheshimwa Naibu Spika wa Muda, naomba kutoa mchango wangu kama mwanakamati wa Kamati ya Ardhi. Tumekaa katika vikao na kuchangia itoshavyo. Ni matumaini yangu kuwa Mswada huu utawafaidi watu wa nchi hii ijapokuwa tumekuwa na changamoto nyingi. Nashukuru kwa yale ambayo yamepita kuwa watu wameweza kuridhiana na kukubaliana kuwa yale mapendekezo yote ambayo yaliletwa, hasa na ndugu zetu wachungaji na Wabunge wa Pwani, yamewekwa ndani na tukakubaliana. Kwa hivyo, naunga mkono Mswada huu."
}