GET /api/v0.1/hansard/entries/649325/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 649325,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/649325/?format=api",
"text_counter": 1051,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": "Asante Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kwanza natoa shukrani kwa Kamati ya Mashamba pamoja na Wanakamati kwa sababu wamekuwa wavumilivu na walihusisha jamii tofauti tofauti haswa zile ambazo zimekuwa na utata katika suala la ardhi haswa ardhi za jamii. Nataka kusema ya kwamba sisi kama Wabunge tuwe na moyo kama huu. Tushauriane na tuzungumzie ile Misuada muhimu sana."
}