GET /api/v0.1/hansard/entries/649326/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 649326,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/649326/?format=api",
    "text_counter": 1052,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Hivi sasa najua pia tutakuwa na sheria za ardhi. Tunataka tuwe na ushauriano kama huo. Tukae tuone kama tunaweza kuleta mabadiliko machache katika Mswada ule ndiposa tukija hapa tuwe tunazungumza kwa sauti moja. Ijapokua najua pengine kwa moja ama mbili unaweza kuwa mmetofautiana lakini kwa ujumla tuweze kupata sheria nzuri na Mswada ambao utatusaidia na utatatua yale masuala ya ardhi haswa hili suala la ardhi ya jamii."
}