GET /api/v0.1/hansard/entries/649520/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 649520,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/649520/?format=api",
    "text_counter": 180,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Shukrani, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi ili niweze kuichangia Hoja hii yenye nia ya kuleta usafi kwenya mazingira yetu. Ninaiunga mkono Hoja hii. Kwanza, nampongeza sana Mhe. Ottichilo kwa sababu ni mwanamazingira ambaye huzungumza kuhusu mazingira na anataka kuona vitendo ambavyo vitarekebisha hali ilivyo katika nchi yetu."
}