GET /api/v0.1/hansard/entries/649521/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 649521,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/649521/?format=api",
    "text_counter": 181,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Hoja hii isiwe tu ndani ya Bunge la kitaifa bali iwe ni sheria mwafaka ambayo itaweza kuiokoa nchi hii. Kabla ya kupitisha Katiba ya Kenya, 2010, tulikuwa na serikali za mitaa. Wakati huo mazingira yalikuwa na nafuu na usafi. Tunazipatia serikali za kaunti pesa nyingi kupitia kwa magavana lakini yasikitisha kwamba kila unapopita wasikia harufu ya uvundo na waona takataka."
}