GET /api/v0.1/hansard/entries/649528/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 649528,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/649528/?format=api",
"text_counter": 188,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Katika utamaduni wa Kiafrika, mama ndiye anayelinda mazingira, kuanzia mzee ndani ya nyumba akioga. Mama ndiye anayehakikisha usafi wa mzee akivaa. Kuna pesa ambazo zimepangiwa kupelekwa kwenye serikali za kaunti kutekeleza majukumu ya usafi wa mazingira na wameshindwa. Ni jukumu letu kama Bunge la kitaifa kuona kwamba pesa hizo zimepatiwa akinamama wawakilishi wa maeneo Bunge. Usafi utaweza kuonekana katika kaunti zetu na kila mahali mtakapopita, mtafurahia mazingira mazuri. Kwa mfano, mazingira ambayo hayana The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}