GET /api/v0.1/hansard/entries/649530/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 649530,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/649530/?format=api",
    "text_counter": 190,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Ninampongeza Rais wetu. Hivi juzi nilikuwa kwenye msafara wake kwenda Ujerumani. Alikaa na wafanyibiashara na wawekezaji ambao wengi wao walikuwa wamelenga kuja Kenya kuhifadhi mazingira kupitia shughuli za kuzoa na kubadilisha takataka ziwe mbolea na umeme. Rais amelitilia jambo hilo maanani. Ni kwa nini sisi kama Bunge tusimuunge mkono Rais wetu na tuweke sheria dhidi ya ukiukaji wa sera ya kulinda mazingira ili watu hao wachukuliwe hatua mwafaka? Hiyo itakuwa hukumu ambayo itaweza kuwafunza watu wetu kulinda mazingira."
}