GET /api/v0.1/hansard/entries/649531/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 649531,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/649531/?format=api",
"text_counter": 191,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Nilitembelea nchi ya Zimbabwe. Usishangae kwa sababu ukipakuliwa chakula katika barabara za Zimbabwe, utakula na hakuna madhara utapata maana kuna usafi wa hali ya juu. Kwa nini Kenya isiwe kama Zimbabwe? Wale ni Wafrika kama sisi. Kwa nini tusiweze kulinda mazingira yetu? Tulipokuwa tukisoma, kila siku ya Ijumaa ilikuwa ni siku ya mazingira katika shule. Hayo mambo yote yametupiliwa mbali. Tujiulizeni ni kitu gani tumekosea ili tuweze kurekebisha na kuyalinda mazingira yetu."
}