GET /api/v0.1/hansard/entries/649532/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 649532,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/649532/?format=api",
    "text_counter": 192,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, ingia mlango wetu wa Kenya. Nikizungumza hivyo, ninamaanisha wakati unapotoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Moi na kuingia Mombasa. Utakutana na uvundo. Kuna maradhi ambayo hizi sasa yameikumba kaunti ya Mombasa. Hii ni kwa sababu hakuna mtu anayeyajali mazingira bali watu wanajali mifuko yao."
}