GET /api/v0.1/hansard/entries/649534/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 649534,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/649534/?format=api",
    "text_counter": 194,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Mhe. Ottichilo, tunaunga mkono siku ya Alhamisi itengwe kulinda mazingira. Sisi sote tuingie kiwanjani na mitaani tusafishe mji wetu. Pia, tuwape nafasi wawekezaji ambao wako tayari kushirikiana na Wakenya kubadilisha zile taka zote ziwe ni vitu vya manufaa. Tukifanya hivyo, tutaleta ajira kwa vijana wetu ambao wanalia hawana kazi. Tukitoa hiyo nafasi bila kuweka vikwazo vingi na kuleta ufisadi, tutaweza kuyaokoa mazingira yetu."
}