GET /api/v0.1/hansard/entries/650820/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 650820,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/650820/?format=api",
    "text_counter": 114,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 179,
        "legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
        "slug": "wilfred-machage"
    },
    "content": "Bw. Spika, wanafaa kutafuta nafasi ili waongee na viongozi wa Upinzani ili wasiingize nchi kwa matatizo kwa sababu ya jambo ndogo kama lile la maafisa wa Tume ya kusimamia uchaguzi. Jambo hilo ni ndogo sana. Wanafaa kutafuta nafasi ya kuwasikiliza viongozi wa Upinzani. Viongozi wa Tume inayosimamia uchaguzi pia wanafaa kuwa na muda wa kuwasikiza. Wasiwe wakitenga tarehe ya kukutana nao kisha wanatoroka. Wanafaa kuwasikiza hata kama hawakubaliani nayo ili kuwe na uwiano na amani nchini. Asante. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate"
}