GET /api/v0.1/hansard/entries/651321/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 651321,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/651321/?format=api",
    "text_counter": 262,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chelule",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13126,
        "legal_name": "Liza Chelule",
        "slug": "liza-chelule"
    },
    "content": "Asante sana, Bw Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii nitoe risala za rambirambi zangu na za watu wa Kaunti ya Nakuru. Ninatoa pole zetu kwa familia ya Rais Mstaafu Mwai Kibaki. Mama Lucy Kibaki ni mama ambaye alisimama wakati Rais Mstaafu Kibaki alikuwa rais wa nchi hii. Aliweza kusimama kama mama kiongozi kutetea wananchi wote na hasa wasichana na wale walioathirika na ugonjwa wa HIV/AIDS. Ni mama aliyekuwa na msimamo. Ninajua imekuwa ni pigo kubwa kwa familia na ninatoa rambirambi zangu na maombi yangu kwamba Mungu ataweza kusimama na kupatia usaidizi Mhe. Kibaki na familia yake na watu wa Nyeri."
}