GET /api/v0.1/hansard/entries/654094/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 654094,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/654094/?format=api",
"text_counter": 36,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Langu lilikuwa tu kufuatiliza vile dada yangu, Mhe. Shebesh amesema. Ningeomba ndugu zangu watuwie radhi. Ningeomba msamaha kwa sababu katika hali ya watu kushindana, huwa mara nyingi watu wengine hukanyangana na kuumizana. Mimi naomba msamaha kwa niaba ya kina mama wote Kenya nzima. Nyinyi ndugu zangu naomba tusimame pamoja ili tutekeleze lile lililoko katika Katiba. Tafadhilini mutuwie radhi."
}