GET /api/v0.1/hansard/entries/654163/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 654163,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/654163/?format=api",
    "text_counter": 105,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "gani. Katika miaka ya sabini, kule kwetu Shimba Hills, kulikuwa na mzee ambaye alizindua mti ambao ulikuwa ukitibu saratani. Hatukujua ni vipi ilitokea kwa sababu wananchi walishtukia watu wamewasili kwa magari makubwa na kuikata ile miti yote, wakaibeba na kuenda nayo. Wakazi wa sehemu hiyo hawajui ilikopelekwa miti ile. Hakuna faida ambayo huyo mzee na Serikali ilipata. Si ajabu kuwa mti huo unatengeneza madawa ambayo tunauziwa kwa bei ghali na ilhali huo mti ulitoka nchini kwetu."
}