GET /api/v0.1/hansard/entries/654237/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 654237,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/654237/?format=api",
"text_counter": 179,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Changorok",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1149,
"legal_name": "Regina Nyeris Changorok",
"slug": "regina-nyeris-changorok"
},
"content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Naungana pamoja na wenzangu ambao wamenitangulia. Nchi ya Kenya iko na sehemu nyingi tofauti. Kuna sehemu ambazo in kavu and zingine hupata mvua nyingi. Kwa hivyo, sehemu hizo hazifanani. Tukiongea kuhusu chakula na mimea, sehemu hizo zote zinahitaji wanasayansi waangalie kwa makini ili kujua ni sehemu gani zitapandwa mbegu ambazo zitafanya vizuri. Mbegu zetu za kiasili zina manufaa kwa sababu zinatupatia nguvu na zilitumiwa na wazazi wetu. Tukiangalia mbegu kama wimbi na mtama zinaweza kumea kwenye sehemu kame. wanasayansi wetu nchini wamechukulia mambo hayo kiholela na wanataka kuleta mbegu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}