GET /api/v0.1/hansard/entries/654256/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 654256,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/654256/?format=api",
"text_counter": 198,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Rai",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 203,
"legal_name": "Samuel Gonzi Rai",
"slug": "samuel-rai"
},
"content": "Tunaweza kufanya utafiti wa miti, mbegu na miche yetu, na kujua ni ipi yenye faida na yenye haina faida. Tunaweza kutilia maanani yaliyo na nguvu. Hapo awali, hatukuwa tunaenda hospitali tukipata maradhi kama msukumo wa damu. Tulikuwa tunatumia mbegu na madawa ya kienyeji, na tulikuwa tukipona. Lakini, kutokana na haya makubwa tuliyoletewa na mkoloni, hata mtoto mchanga anaugua saratani kwa sababu ya mafuta tunayotumia. Tunaambiwa kwamba kuna madawa ambayo yanaweza kuregesha saratani chini. Lakini kinachohitajika ni kuboresha mimea ama dawa ili kuhakikisha kwamba tunapata lishe bora."
}