GET /api/v0.1/hansard/entries/654513/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 654513,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/654513/?format=api",
"text_counter": 242,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda, nakubaliana na Mhe. (Dkt.) Ottichilo kuwa ni muhimu kuwe na sheria wazi wazi bila tashwishi yoyote. Wenye kufanya shughuli hizi ni lazima wawe wamesomea masuala haya na haswa wawe wamesomea muda ambao sio mrefu kutoka wakati wanapolipa ada yao."
}