GET /api/v0.1/hansard/entries/654994/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 654994,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/654994/?format=api",
"text_counter": 723,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika Wa Muda, ninajiunga na wenzangu kusema kuwa kuna umuhimu wa sheria hii. Hata ingawa ilichelewa kidogo, lakini sasa hivi muda umefika. Sheria hii ikipitishwa, itasaidia kurekebisha matatizo ambayo askari gongo wa hapa nchini wamekuwa wakipata. Kuwapatia bunduki lingekuwa janga nchini. Kwa hivyo, sheria hii ikipita itawawezesha kupata mishahara inayofaa ili waweze kujimudu kimaisha. Ukweli ni kwamba askari gongo wana firimbi, na Wabunge walisahau kuwa wao ni Wabunge na wakafanya tabia kama za askari gongo. Ninaunga mkono."
}