GET /api/v0.1/hansard/entries/657016/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 657016,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/657016/?format=api",
"text_counter": 741,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2308,
"legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
"slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
},
"content": "Mhe. Mwenyekiti wa Muda, mambo yanayozungumzwa hapa ni muhimu sana. Yanahitaji watu wa kutosha kwa sababu Wakenya wote wanaangalia siku ya leo. Nikiangalia watu hawajatosha; hakuna quorum kamili ya kuendelea na maneno haya. Kwa hivyo ifungike na watu wangoje mengine kwa sababu pana klabu hapa ambayo imejipanga makusudi kuhujumu maneno ambayo yametengenezwa na Wakenya wote. Asante, Mhe. Mwenykiti wa Muda."
}