GET /api/v0.1/hansard/entries/657805/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 657805,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/657805/?format=api",
    "text_counter": 734,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2308,
        "legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
        "slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
    },
    "content": "mtihani nafikiri hapo ndipo wakati utajuwa kwamba huyo ni kiongozi ama si kiongozi sawasawa. Kwa hivyo, masuala ya elimu mimi naona kwamba cheti kisiwe na uzito zaidi. Nakumbuka kwamba zamani kulikuwa na mibabe ya kisiasi ambao hawakufika hata darasa la nne. Nikitoa mfano, kule kwetu tulikuwa na mbabe wa siasa Mhe. Masoud Mwakileo, Mhe. Mwarua Abdalla, na Mhe. Abdalla Ndovu Mwidao. Hawa nina imani kuwa elimu yao haikuwa ya juu kama vile watu wanavyofikiria lakini walikuwa wanasema maneno sawa sawa na wakizungumza mtu anajua. Nina wasiwasi kama marehemu Shikuku alikuwa na degree. Pengine alikuwa na diploma tu lakini alikuwa akizungumza na nchi nzima inatetemeka. Kwa hivyo, masuala ya elimu mimi nataka yaangaliwe vizuri ili tusitoe watu nje katika mazungumzo ama---"
}