GET /api/v0.1/hansard/entries/658273/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 658273,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/658273/?format=api",
"text_counter": 441,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Nassir",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "Asante, Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda. Ningependa tuweze kuelewa pale dada Mishi anatoka. Anazungumzia hii sheria kipengele ambacho Kamati inakataa na kukiuka. Inazugumzia maswala na mambo ya ndoa. Nakubaliana na dadangu na naomba hata kama kuna mambo mengine, haya ya dada zetu and kaka wetu wengine ambao wanaweza kuumia kwa sababu ya mambo kama haya, ningeomba sana waweze kuikubali hii njia ambayo dada Mishi anafuata."
}