GET /api/v0.1/hansard/entries/659445/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 659445,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/659445/?format=api",
    "text_counter": 357,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Gichigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1909,
        "legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
        "slug": "samuel-kamunye-gichigi"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii. Ningependa kuwashukuru Wabunge wote kwa sababu ya mchango wao kwa kipindi ambacho kinaisha leo. Ninaupinga Mswada huu unaosema twende nyumbani, kwa sababu kuna kazi nyingi sana ambayo imebaki. Ninaona kuna hatari kubwa sana Bungeni kama tutakua tukienda nyumbani kwa sababu kule tunakoelekea si kuzuri. Wiki ijayo kuna maadui wa nchi hii ambao wanataka kuvuruga amani Nairobi. Naona afadhali tungekua hapa Bungeni tuweze kuwashughulikia hao maadui, ambao wanataka kuvuruga amani nchini. Jambo la pili, nchi hii ina ukora mwingi sana unaoendelea, haswa mambo ya ufisadi katika sekta nyingi katika Serikali kuu na serikali za kaunti. Sisi, kama Wabunge, Maseneta na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}