GET /api/v0.1/hansard/entries/659487/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 659487,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/659487/?format=api",
    "text_counter": 24,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Ahsante Mhe. Spika. Ninatumaini sote tumesikia ombi ambalo limetolewa kwa sababu ya mazishi na vile hali ilivyo kwenye familia ya Mheshimiwa Shitanda. Kwa hivyo ni ombi letu kwa Wabunge wenzetu kuwa tukubaliane kuwa viongozi ama vinara wa Bunge wakuandikie barua kwamba kila Mbunge atoe Ksh5,000 ili ziweze kusaidia shughuli za mazishi, na kusaidia kama kuna lolote la kulipia hospitali ili familia ya Mheshimiwa Shitanda iweze kupata afueni. Mheshimiwa Spika hili ni ombi nzuri. Tunaliunga mkono na bila shaka Wabunge wenzetu watakubaliana nasi kama viongozi tumuandikie Mhe. Spika barua ya kumuwezesha kutoa Ksh5,000 kutoka kwa mshahara wa kila Mbunge. Ninatumaini kwamba ombi hilo limekuwa na Wabunge wenzangu."
}