GET /api/v0.1/hansard/entries/659600/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 659600,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/659600/?format=api",
"text_counter": 137,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Gichigi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1909,
"legal_name": "Samuel Kamunye Gichigi",
"slug": "samuel-kamunye-gichigi"
},
"content": "Nikimalizia, Kenya huchukua zaidi ya asilimia 90 ya medali katika ushindani wa mbio za nyika. Hiyo ndiyo inafanya tuonewe. Tunawambia wanariadha wetu wachukue nafasi hii watuletee medali kwa wingi katika kipindi cha mashindano yajayo."
}