GET /api/v0.1/hansard/entries/661446/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 661446,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/661446/?format=api",
    "text_counter": 335,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kombe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 250,
        "legal_name": "Harrison Garama Kombe",
        "slug": "harrison-kombe"
    },
    "content": "Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ni masikitiko kwamba aliyeshiba hajui mwenye njaa. Ujenzi wa sehemu ya pili ya kituo hiki ni muhimu sana. Nasimama kuunga mkono kwa sababu kwanza ni kituo ambacho kitaongeza nafasi za kazi kwa watoto wetu. Vijana wetu hawana kazi na kwa wakati huo ambapo ujezi utakuwa ukiendelea, wataajariwa na pia vile vile ukikamilika, kuna wengine wengi ambao wataajariwa."
}