GET /api/v0.1/hansard/entries/661513/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 661513,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/661513/?format=api",
    "text_counter": 402,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. S.A. Ali",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Kama viongozi tunahitaji kujadiliana pakubwa kabla hatujajiweka katika madeni kama haya ambayo mwisho wake kama ninavyosema, yatakuwa mzigo wa mwanachi wa Kenya wa kawaida. Mimi ningependa kusema kwamba kuna miradi mingi ambayo inahitaji kufanyika na ni bora zaidi. Kama hizi pesa zitatumika, zitafungua milango nchini na kuinua uchumi."
}